Translate

sabato

Appunti dal quaderno di kiswahili 1


Kuhusu-about
Chama cha siasa-partito politico
Kiri-accettare
Juhudi-sforzo, impegno
Makusudi-proposito
Mkakati-impegno
Shiriki-partecipare,collaborare
Imani-aver fiducia, aver fede
Epusha-evitare
ruhusa-permesso
pakua-servire cibo, togliere, scaricare
kwa ajili gani- per quale motivo

Esempi:
Tunazungunza kuhusu mambo mbalimbali
Chadema na ccm ni vyama vya siasa
Viongozi wetu wanakiri wanahitaji saada ili ku pata maendeleo mazuri
Wanafunzi wangu wanasoma na juhudi
Makusudi yao ni kujenga nyumba nyngi
Ili ku pata viongozi wa taifa wema, heri ku shiriki vikao vyote
Ili ku pata afya bora, heri ku epusha pombe
Nimenunua kalaam hii kwa ajili ya kuandika vizuri zaidi

alfajiri-alba
magharibi-tramonto
Mwana wa simba ni simba-il figlio del leone è un leone
Hasira ni hasara-l’ira è perdita
Maneno tu hayajazi chungu-le parole da sole non riempiono la pentola
Penye nia ipo njia-dove c’è volontà c’è la strada
Alioko juu, mngoje chini-chi si trova in alto aspettalo in basso
Usinunue viatu usivyopima-non comprare scarpe che non hai misurato

Hivyo ndivyo ulivyo sema-that is what you said
Fanya vyovyote upendavyo- do as you please
Mambo yako hivyo ulivyo sikia-things are as you have hear